Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kuna siri gani kwa wachezaji hawa Yanga?

Wachezaji Yanga.jpeg Kuna siri gani kwa wachezaji hawa Yanga?

Fri, 28 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kuna siri gani tena, Mwendo wa kukunja bukta Sasa kwa Mastaa wa Yanga huko AVIC Town?

Mwanzo ilizoeleka kwa Jesus Moloko na tephen Aziz KI, lakini kwa sasa idadi imeongezeka kwa nyota wapya waliosajiliwa ndani ya kikosi hicho

Kibabage

Pacome

Moloko

Aziz ki ( huyu ndio Mwalimu wao)

Je Msomaji unadhani kuna siri gani nyuma ya matukio ya wachezaji hawa? tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: