Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Konkoni kuiburuza Yanga FIFA

Hafizkonkoni88 1692861410889.jpeg Straika wa zamani wa Yanga Sc, Hafiz Konkoni

Fri, 7 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika wa zamani wa Yanga Sc, Hafiz Konkoni amepeleka mashtaka yake ya madai dhidi ya Klabu ya Yanga Sc katika Makao Makuu ya Soka Duniani, FIFA.

Straika wa zamani wa Yanga Sc, Hafiz Konkoni amepeleka mashtaka yake ya madai dhidi ya Klabu ya Yanga Sc katika Makao Makuu ya Soka Duniani, FIFA. Konkoni anadai bado Klabu ya Yanga haijamaliza kumlipa madai yake tangu aachane na Miamba hiyo ya Jangwani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: