Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha gani atamaliza salama msimu ujao

Wageni Wageni Makocha Kocha gani atamaliza salama msimu ujao

Wed, 2 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Jumla ya makocha wa kigeni waliopo kwenye Ligi yetu ni 9, nani atatoboa miongoni mwa hawa na kumaliza msimu ?

1. Miguel Gamond - Yanga

2. Robert Oliviera - Simba

3. Youssouph Dabo - Azam

4. Hans Van Der Pluijm - Singida BS

5. Cedric Kaze - Namungo

6. Goran Kopunovic - Kitayosce

7. Abdulhamid Moallin - KMC

8. Melis Medo - Dodoma Jiji

9. Mwinyi Zahera - Coastal Union.

Je unadhani Kocha gani atatoboa msimu ujao, au nani atakuwa wa kwanza kutimuliwa?

Tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: