Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha aliewatema Simba, awatema tena Waarabu

Zoran Maki Asepa Misri.jpeg Zoran Maki

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Zoran Maki ameondoka Al Ittihad mara moja baada ya kukaa kwa msimu nchini Misri.

Zorab Maki akiwa na Al Ittihada limaliza katika nafasi ya 8 kwenye Ligi Kuu iliyomalizika siku kadhaa zilizopita.

Zoran aliifahamisha bodi kuwa anataka kurejea nchini mwake na kwamba hatarejea tena.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: