Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kocha Simba alalamikia ubovu wa Uwanja, awapa Yanga onyo

Robertinho Simba G Kocha wa Simba Roberto Oliviera, Robertinho

Fri, 11 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya jana kufanikiwa kutinga hatua ya Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Singida Big Stars kwa ushindi wa penati 4-2.

Kocha wa Simba Mbrazil Roberto Oliviera "Robertinho" amesema Changamoto ya Uwanja wa Mkwakwani ndio iliyosababisha washindwe kupata ushindi mapema dhidi ya Singida.

Akizungumza Robertinho amesema;

“Simba inacheza ‘Samba’, tumeshindwa kucheza 'Samba' tumepata tabu kidogo kutokana na eneo la kuchezea halikuwa zuri, sio sawa na kule Dar es salaam.”

“Kwenye hiyo mechi ya fainali dhidi ya Yanga (Jumapili) 'Samba' itapatikana, tutaingia kwa nidhamu na Simba ni timu kubwa malengo yetu ni kushinda mataji msimu huu.”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: