Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiwango cha Ally Salim chamuibua Professor Jay

Jay X Ally Salim Kiwango cha Ally Salim chamuibua Professor Jay

Mon, 14 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya kudaka penati tatu dhidi ya Yanga katika mchezo wa Fainali ya Ngao ya Jamii Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga.

Gwiji wa Bongo Fleva na Shabiki kindakindaki wa Simba SC, Joseph Haule "Proffessor Jay" Kupitia ukurasa wake wa Instagram amemwagia sifa Mlinda Mlango wa Simba SC Ally Salim kw kuandika;

"Man of the Match"

"Leo umejua kutuheshimisha wekundu wa msimbazi"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: