Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kiungo wa kazi asaini miaka miwili Yanga

Yusph Kagoma Kiungo wa Singida Fountain Gate FC , Yusuph Kagoma

Mon, 3 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Tetesi kutoka katika Klabu ya Yanga zinasema Kiungo wa Singida FG, Yusuph Kagoma ni mali halali ya Yanga SC.

Tetesi kutoka katika Klabu ya Yanga zinasema Kiungo wa Singida FG, Yusuph Kagoma ni mali halali ya Yanga SC. Mkataba wa miaka miwili ulishasainiwa na endapo kuna Klabu inamhitaji ni Yanga pekee wenye uwezo wa kumuuza au kuruhusu arejeshe pesa za Usajili alizopewa yeye pamoja na klabu yake ya Singida FG.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: