Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kishamba: Simba wana uhusiano mzuri na Media kuliko Yanga

Prisca Vs Waseamji Kishamba: Simba wana uhusiano mzuri na Media kuliko Yanga

Sun, 6 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mtangazaji wa Clouds fm, Prisca Kishamba amesema timu ya Simba SC inauhusiano mzuri sana na Vyombo vya Habari Ukilinganisha na Yanga Ndio maana kila media kubwa imelipigia promo Tamasha la Simba day linalofanyika leo Agosti 6 katika Uwanja wa Mkapa Jijini Da es Salaam.

Akizungumza Kishamba amesema;

"Hata usiku wa manane ukumpigia simu, Ahmed Ally anapokea hata kama kalala basi akiamka akakuta missed call lazima akutafute"

Tofauti na Young Africans sports club, tamasha lao halikupigiwa promo sana na vyombo vya habari kwa sababu hakuna uhusiano mzuri na baadhi ya media"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: