Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kisa hiki...!Simba walimwa Faini

Simba Yaapa Kuwachapa Power Dynamos.jpeg Simba SC

Fri, 29 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC imepigwa faini ya shilingi million moja (1,000,000/=) na bodi ya ligi TPLB.

Hii ni baada ya maafisa wake usalama kumfanyia vurugu Kiongozi mmoja wa Coastal Union kwenye mchezo wa ligi kuu soka Tanzania Bara Kati ya Simba SC dhidi ya Coastal Union, ulipigwa katika uwanja wa Uhuru.

Simba SC ilishinda mchezo huo kwa mabao matatu kwa sifuri.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: