Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kindoki: Wanaomchangia Fei Toto ni Simba

Fei Totooo.jpeg Wanaomchangia Fei Toto ni Simba

Tue, 30 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kindoki ambaye ni shabiki lia lia wa Yanga amezungumza sakata la Fei Toto na Yanga na kueleza kuwa Fei Toto anachofannya ni kihujumu YANGA na anatumwa na baadhi ya watu.

Ameongeza kuwa mpaka sasa nafasi yake Yanga haipo na hawamtaki arudi Yanga wao kama mashaiki,

Mashabiki wa Simba ndio wanamchangia Fei aende CAS lakini hawezi kushinda ile kesi, Simba wanamchangia kwa sababu wanamuogopa amewafunga sana.

Fei Toto amepewa nafasi ya kuongea na Yanga, ameitwa hataki kuongea na uongozi wa Yanga, wanaomshauri ndio wanamharibu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: