Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kilio cha Simba, furaha kwa Singida Fountain Gate

Beno David Kakolanya Beno Kakolanya

Wed, 2 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Simba ikiendelea kuhaha juu ya upatikanaji wa golikipa mpya wa kikosi hicho klabu ya Singida Fountain Gate imekamilisha usajili wa aliyekuwa golikipa wa klabu ya Simba Beno Kakolanya kama mchezaji huru.

Beno atatangazwa siku ya leo Agosti 2 kwenye siku maalumu kwa wana Singida Foutain gate na mambo yote yamekamilika.

Je Simba walifanya makosa kuachana na Beno Kakolanya? tupe maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: