Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kikosi cha Yanga kilichokwenda Congo DR kuwavaa TP mazembe

Johora Mzize Kikosi cha Yanga kilichokwenda Congo DR kuwavaa TP mazembe

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya safari ya kikosi cha Yanga kuelekea jijini Lubumbashi nchini DR Congo kuingia dosari baada ya kukwama Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere namba tatu kwa saa 12, hatimaye kikosi hicho kimefanikiwa kuondoka.

Yanga imekwenda Lubumbashi kumalizana na wapinzani wao TP Mazembe katika mchezo wa mwisho wa Makundi wa Kombe la Shirikisho Afrika.

Tayari kikosi hicho chenye wachezaji 21, benchi la ufundi na viongozi waandamizi wa klabu kimeshawasili Lubumbashi.

1. Metacha Mnata

2. Eric Johora

3. Djuma Shaban

4. Kibwana Shomari

5. Lomalisa Mutambala

6. Ibrahim Bacca

7. Bakari Mwamnyeto

8. Dickson Job

9. Yannick Bangala

10. Denis Nkane

11. Mudathir Yahya

12. Salum Abubakary

13. Zawadi Mauya

14. Jesus Moloko

15. Farid Mussa

16. Tuisila Kisinda

17. Clement Mzize

18. Stephanie Aziz Ki

19. Kennedy Musonda

20. Fiston Mayele

21. Mamadou Doumbia.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: