Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kibu D: Simba ya Robertinho kupata namba ni mtiti

Aucho Kibu Kibu Denis akigombea mpira na Khalid Aucho

Mon, 14 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Straika wa Simba SC Kibu Denis amekiri kuwepo na changamoto ya namba ndani ya Kikosi chake ndiyo maana kila mchezaji ana pambana kuhakikisha ana mshawishi mwalimu katika mazoezi ili ampe nafasi katika kikosi cha Kwanza.

“Ninachoshukuru Mungu wachezaji wote tunaweza hivyo wanajituma kuhakikisha kila mmoja anaweza,” - amesema Kibu Denis.

Kibu ni miongoni mwa wachezaji wanaopata nafasi ya kuanza chini ya Kocha Robertinho ingawa jana katika mchezo wa Fainali ya Ngao ya Jamii alianzia benchi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: