Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Kabwili: Nimecheza na Makipa wengi lakini hakuna kama Diarra

Diarra X Kabwili Ramadhan Kabwili na Djigui Diarra

Thu, 13 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

linda lango wa zamani wa Yanga na Rayon Sports ya Rwanda, Ramadhan Kabwili amesema katika makuzi yake ya soka amewahi kufanya mazoezi na magolikipa wote wakubwa na wazuri nchini na ndicho kinachomfanya leo hii anakua bora sana.

Kabwili amesema anavutiwa zaidi na mlinda lango wa klabu ya Yanga Djigui Diarra namna ambavyo anacheza akiwa langoni na anawafundisha makipa wetu kucheza kisasa zaidi.

"Nimepata nafasi ya kufanya mazoezi na magolikipa wengi wazuri na wakogwe Tanzania isipokua Mwameja, kuna vitu vizuri nimenipata kwao".

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: