Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

KMC waomba radhi kwa kipigo cha Yanga

Kmcfc Official 369 KMC waomba radhi kwa kipigo cha Yanga

Thu, 24 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa klabu ya KMC umewaomba radhi wapenzi na mashabiki wake baada ya kuchabangwa mabao 5-0 na Yanga katika mchezo wa ligi kuu uliopigwa uwanja wa Azam Complex jana.

Taarifa iliyotolewa na timu hiyo mapema leo, imebainisha kuwa wamekubali kipigo hicho ni kikali lakini hayakuwa matarajio yao.

KMC sasa inaanza maandalizi ya mchezo wa ligi kuu utakaofuata dhidi ya JKT Tanzania ambao utapigwa Septemba 15.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: