Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Julio: TFF wapandishe viingilio kuepusha vurugu

Julio Jamhuri Jamhuri Kihwelu ‘Julio’

Fri, 11 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Jamhuri kihwelu amesema kuna haja kwa shirikisho la Soka Tanzania kupandisha kiingilio katika mchezo wa kesho ili kuepusha vurugu kwa mashabiki.

Kocha Jamhuri kihwelu amesema kuna haja kwa shirikisho la Soka Tanzania kupandisha kiingilio katika mchezo wa kesho ili kuepusha vurugu kwa mashabiki. Julio amesema kuna haja ya kuweka kiingilio cha chini Elfu 20 na cha juu Elfu 50 ili kuwe na ustaarabu mzuri wa kuingia uwanjani katika mchezo wa Yanga dhidi ya Simba hapo kesho.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: