Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Jemedari Said: Viongozi wa Simba SC wengi wababaishaji (+Video)

SAID JEMEDARI 1140x640 Jemedari Said

Tue, 18 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati Simba wakiwa hawajaweka wazi sababu za Kocha wao Mkuu Mkuu Mbazil Roberto Oliviera "Robertinho" kuachana na Timu ikiwa Kambini Uturuki na kurudi kwao Brazil.

Mchambuzi wa Michezo kutoka EFM, Jemedari Said amesema Simba mambo yao mengi hayako katika mpangilio na yanaweza kuwa chanzo cha kuathiri maanadalizi yao kuelekea msimu mpya 2023/24.

Msikilize Jemedari Said kwa kirefu katika Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Muziki Unaongea ???? (@efmtanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: