Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Israel Mwenda aongezewa Mkataba Simba SC

Isra Patrick Mwenda Beki Israel Patrick Mwenda

Wed, 26 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsainisha beki Israel Patrick Mwenda nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka 2026.

Klabu ya Simba Sc imethibitisha kumsainisha beki Israel Patrick Mwenda nyongeza ya mkataba mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo mpaka 2026. Mwenda (24) ambaye tayari amehudumu Simba Sc kwa misimu mitatu alijiunga na Wekundu hao wa Msimbazi mnamo Agosti 16, 2021 akitokea KMC FC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: