Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Injinia Hersi ampokea beki wa PSG nchini

Hersi X Hakimi Injinia Hersi na Achraf Hakimi

Mon, 24 Jun 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi @caamil_88 akiwa Uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro akimpojea Mgeni wake beki wa klabu ya PSG na timu ya Taifa ya Morocco @achrafhakimi

Rais wa Yanga Eng. Hersi Saidi @caamil_88 akiwa Uwanja wa kimataifa wa Kilimanjaro akimpojea Mgeni wake beki wa klabu ya PSG na timu ya Taifa ya Morocco @achrafhakimi Hakimi ametua nchini akiwa na rafili zake na imetajwa kuwa nyota huyo atakuwa nchini kwa wiki moja huku wakitembelea vivutio mbali mbali vya utalii nchini.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: