Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Infantino aipongeza Yanga

Ifantinho Fifaa.jpeg Infantino aipongeza Yanga

Thu, 1 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Duniani (FIFA), Gianni Infantino ameipongeza Yanga SC kwa kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu ya NBC msimu wa 2022/2023.

Katika pongezei hizo, Infantino amesema isingekuwa rahisi kutwaa ubingwa huo bila bidii ya timu nzima, ari na kujitolea na kila mtu kwenye timu hiyo anajivunia hilo.

Aidha, amelipongeza Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) kwa mchango wake katika maendeleo ya soka nchini Tanzania na Afrika.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: