Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hoteli waliofikia Yanga, chumba sh laki 6 siku

Marriott Hotel Hoteli waliofikia Yanga, chumba sh laki 6 siku

Fri, 15 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga kwasasa wapo nchini Rwanda na wamefikia katika hoteli ya kimataifa inayofahamika kama Marriott Hotel iliyo katika Mji wa Kigali.

 

Hotel hiyo kwa mujibu wa taarifa kutoka Rwanda gharama yake kulala kwa siku chumba kimoja Shilingi 629,507.

 

Hoteli hiyo inapatikana mahitaji yote muhimu ikiwemo bwawa la kuogelea, Gym na Ukumbi wa Mikutano na eneo la kufanyia mazoezi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: