Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hizi hapa Jezi mpya za Simba msimu wa 2023/24

Mnyama Uziii Jezi mpya za Simba 2023/24

Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC leo Julai 21 imezindua Jezi mpya zitakazotumika kwa msimu ujao 2023/24.

Simba imeingia Mkataba mpya wa utengenezaji wa jezi na mfanyabiashara maarufu Sandaland wakiachana na yule wa awali Fred Ngajilo maarufu kama "Fred Vunja Bei".

Jezi mpya za Simba SC kwa msimu ujao 2023/24 zimezinduliwa kwa staili ya kipekee katika kilele cha Mlima mrefu Barani Afrika, Mlima Kilimanjaro unaopatikana Tanzania.

Tukio hilo linaweka historia kwa klabu ya Simba kufanya tukio kama hilo kwa Vilabu vya mpira wa miguu nchini.

Tazama Picha zaidi hapa chini; kisha useme unaipa alama ngapi Jezi mpya ya Simba SC.







Je uzi umesimama au hakuna kitu? Tuachie maoni yako

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: