Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki ndicho walichokuwa wanakitafuta vigogo wa Kariakoo

Yanga X Simba Balaa Hiki ndicho walichokuwa wanakitafuta vigogo wa Kariakoo

Thu, 14 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Malalamiko yalikuwa mengi kwa nini Simba na Yanga wanacheza na Timu ndogo katika maandalizi ya mechi zao za Kimataifa?

Simba na Yanga wanacheza hizi mechi za kirafiki dhidi ya timu ndogo lengo likiwa ni kujaribu baadhi ya vitu kama vinafanya kazi au la, ni rahisi kujua kama kuna kitu kipo au hakipo sawa ukicheza na Kiluvya au Ngome kuliko mpinzani mgumu.

Lakini pia kuna pattern ambazo timu inataka izicheze kwa haraka, dhidi ya mpinzani mdogo unapata nafasi ya kufanya practice ya kitu katika ushindani wa wastani...ndipo ukamilifu unaongezeka kwenye mechi ngumu za kiushindani...kumbuka Practice makes Perfect.

Wote wawili wanaanza safari leo wakiwa wameshjipata na wana uhakika na matokeo chanya katika michezo yao siku ya Jumamosi.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: