Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki ndicho kilichowakuta Mashabiki wa Yanga Kigoma (+Video)

Aaaa Hiki ndicho kilichowakuta Mashabiki wa Yanga Kigoma

Mon, 14 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mashabiki wa Simba kutoka Ujiji Mkoani Kigoma wameshangilia ushindi wao wa mechi ya jana ya Ngao ya Jamii kwa kuwanyoa vipara, kuwalisha chakula, kuwapaka oil chafu pamoja na unga kisha kuwafanyisha shughuli mbalimbali Mashabiki wa Yanga ikiwa ni sehemu ya utamaduni wa Mashabiki kwa Timu hizo mbili mkoani humo kutaniana kila Timu zao zinapokutana.

Simba SC jana ilifanikiwa kutwaa Ngao ya Jamii mbele ya Yanga kwa ushindi wa penati baada ya dakika 90 kumalizika 0-0.

Unaambiwa zoezi la kuwasaka Mashabiki wa Yanga katika Manispaa ya Kigoma Ujiji bado ni endelevu baada ya Mashabiki wengi wa Yanga kujificha toka jana ili wasipatwe na kilichowakuta wenzao.

View this post on Instagram

A post shared by millardayo (@millardayo)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: