Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki ndicho kilichotokea uzinduzi wa Jezi za Simba Mlima Kilimanjaro

Jezi Kileleni.jpeg Jezi za Simba zikipeperushwa katika kilele cha ,lima Kilimanjaro

Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba SC leo Julai 21 imezindua Jezi zake za msimu mpya 2023/24 katika kilele cha Mlima Kilimanjaro.

Sasa tangu Jumatano kibegi kilianza safari ya kuelekea katika kilele cha Mlima Kilimanjaro na leo Ijumaa kiliwasili na kilibeba jezi mpya tano zikiwa na majina ya Viongozi wa Serikali na moja ikiwa na jina la Rais wa Heshima wa Simba Mohammed Dewji.

Majina ya viongozi hao ni Rais Samia Suluhu Hassan, Makamu wa Rais Dkt Philip Mpango, Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, Rais wa Zanzibar Dkt Hussein Mwinyi na Spika wa Bunge Dkt Tulia Ackson.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: