Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Kaizer Chiefs

Skudu Nxzegeli Hiki hapa kikosi cha Yanga kinachoanza vs Kaizer Chiefs

Sat, 22 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Yanga wanacheza mchezo wa Kirafiki wa Kimataifa dhidi ya Kaizer Chiefs kutoka Afrika ya Kusini.

Mchezo huo ni katika kuadhimisha kilele cha Siku ya Mwananchi tamasha ambalo hufanya na Yanga kila mwaka ikiwa ni maalum kwa ajili ya kujiandaa na msimu mpya wa Mashindano.

Nyota watatu wapya wa Yanga Maxi Nzengeli, Nickson Kibabage na mtaalamu wa kucheza na mpira Skudu Makudubela wamepata nafasi ya kuanza katika mchezo huo.

Tazama kikosi kamili cha Yanga hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: