Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hii ndio Hoteli ya Kifahari waliyofikia Yanga Sauzi

Royal Marang Hotel Sauzi Hii ndio Hoteli ya Kifahari waliyofikia Yanga Sauzi

Mon, 15 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Timu ya Yanga imeweka kambi katika hoteli ya kisasa ya The Royal Marang iliyopo umbali wa kilometa 120 kutoka Johannesburg nchini Afrika Kusini ambapo watakuwa wakijiandaa na mechi ya marudiano nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Marumo Gallants mechi itakayopigwa katika uwanja wa Royal Bafokeng ambapo ni mwendo wa dakika 10 kwa gari kutokea hoteli waliyofikia Yanga.

Timu ya Yanga imeweka kambi katika hoteli ya kisasa ya The Royal Marang iliyopo umbali wa kilometa 120 kutoka Johannesburg nchini Afrika Kusini ambapo watakuwa wakijiandaa na mechi ya marudiano nusu fainali Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya Marumo Gallants mechi itakayopigwa katika uwanja wa Royal Bafokeng ambapo ni mwendo wa dakika 10 kwa gari kutokea hoteli waliyofikia Yanga. Yanga tayari wanaingia katika mchezo huo wakiwa na uongozi wa mabao 2-0 walioupata katika mchezo wa nusu Fainali ya kwanza uliopigwa katika Uwanja wa Mkapa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: