Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Hawa bado sana Simba , Yanga

James Akaminko Kazi Kiungo wa Azam James Akaminko

Thu, 31 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati wachezaji wa kigeni wa Azam FC wakionesha uwezo mkubwa wanapokutana na vigogo Simba na Yanga huku mara kadhaa wadau wakivitaka Simba na Yanga kuwabeba wachezaji hao ili kujiimarisha zaidi kwa kuwa tayari wanayajua mazingira ya Tanzania.

Taarifa ikufukie kuwa ni ngumu kwa wachezaji hao kutua Simba ama Yanga kutokana na kufanya vibaya kwa Azam FC Kimataifa.

Mpaka watakapothibitisha ubora wao katika ngazi ya Kimataifa, la sivyo Simba na Yanga watawaendea hawa hawa wazawa kina Chilunda, Sure, Muda, Kapombe, Nyoni, Manula na Bocco. Hawa wakigeni wa Azam tutawasifu lakini tutachelewa sana kuwaona Kariakoo.

Tangu hapo wanachukua hela nyingi kutoka kwa Bakhresa bora ukachukue mgeni ambae Dola 1000 ndio mshahara mkubwa zaidi anaoujua...

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: