Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Geoff Leah: Miquissone alistahili kuanza nafasi ya Kibu (+Video)

Kibu Vs Miquissoneeeee Geoff Leah: Miquissone alistahili kuanza nafasi ya Kibu

Mon, 14 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Simba jana ilicheza mechi ya Fainali ya Ngao ya Jamii dhidi ya Yanga kwatika Uwanja wa Mkwakwani Jijini Tanga na kufanikiwa kuibuka na ushindi wa Penati 3-1.

Tofauti na matarajio ya wengi, katika kikosi kilichoanza jana nyota Kibu Denis ambae amejihakikishia kuanza katika kikosi cha Robertinho jana alianzia benchi huku winga, Jose Luis Miquissone akipata nafasi ya kuanza.

Pengine wengi walipata wasiwasi kwa kuwa Miquissone bado hajaonesha fomu yake tangu atue Simba siku chache zilizopita sasa Mchambuzi wa Michezo kutoka EFM, Geof Lea ametoa hoja zake kwanini ilikuwa ni muhimu kwa Miquissone kuanza nafasi ya Kibu.

Msikilize Geof katika Video hapa chini;

View this post on Instagram

A post shared by Muziki Unaongea ???? (@efmtanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: