Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Gamondi apanga mauaji Jumapili Mkwakwani

Gamondi Ms Kocha mkuu mpya wa Yanga, Miguel Gamondi akitoa maelekezo kwa Wachezaji

Fri, 11 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha wa Yanga, Miguel Gamondi mapema tu jana kabla ya mchezo kuanza alitinga uwanjani akiwa na wasaidizi wake Mussa Nd’ew akija kuwasoma wapinzani wao ambapo muda mwingi alikuwa akiandika vitu kwenye kitabu kidogo alichokuwa nacho.

Gamondi alikuja maalum kuwasoma wapinzani wao ambao watakutana nao Jumapili Agosti 13, katika Uwanja wa CCM Mkwakwani.

Kocha Gamondi alisema

“Tulitengeneza nafasi nyingi sana za kufunga dhidi ya Azam lakini hatukuzitumia ipasavyo, hili ni tatizo, lazima fainali tuwe makini na nafasi tunazozipata, nimeliona hili na naenda kulifanyia kazi,”

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: