Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

GSM atua kwenye mazoezi ya Yanga Lubumbashi

Gsm 0 GSM atua kwenye mazoezi ya Yanga Lubumbashi

Fri, 31 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mdhamini Mkuu wa Yanga, Gharib Said Mohamed (katikati) akiwa na Rais wa Yanga SC, Hersi Ally Said na Makamu wake, Arafat Hajji (kulia) wakijadiliana wakati wa mazoezi ya timu leo Uwanja wa TP Mazembe Jijini Lubumbashi, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo.

Tayari mshambuliaji Mzambia, Kennedy Musonda (kishoto) aliyekuwa na timu yake ya Taifa, Chipolopolo amekwishajiunga na Yanga kuelekea mchezo wa mwisho wa Kundi D Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya wenyeji, TP Mazembe Jumapili.

Kiungo Mkongo Yanick Bangala anaonekana yuko fiti kabisa kuelekea mchezo huo dhidi ya timu ya nyumbani kwao, DRC.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: