Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto na Injinia Hersi nani aondoke Yanga?

FEISAL NA INJINIA Fei Toto na Injinia Hersi nan aondoke Yanga?

Thu, 1 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga katika mahojiano yake na kipindi cha Power Breakfast kinqchorusha na Cloud FM amesema tatzo lake sio Yanga wala viongozi wa Yanga.

Mgogoro wake mkubwa ni dhidi ya Rais wa Yanga Injinia Hersi ambae ndio mkuu wa shughuli zote za Yanga hivyo kwa kuwa bado yupo ni ngumu yeye kurudi.

Fei ameenda mbali na kusema kuwa iwapo Rais wa Yanga Injinia Hersi atang'atuka hata sasa hivi basi yeye yuko tayari kurudi Yanga muda wowote kwa kuwa huyo ndio mtu mwenye mgogoro nae.

Swali kwako wewe mpenzi wa Yanga, Kati ya Feisal na Rais Injinia Hersi nani aondoke?

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: