Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto atapewa Medali ya CAF?

Eng. Hersi: Sina Tatizo Na Feisal Fei Toto atapewa Medali ya CAF?

Mon, 5 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Baada ya Yanga kufika Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika na kukamata nafasi ya pili, wachezaji wake pamoja na Benchi la Ufundi walivalishwa medali.

Bado kuna swali iwapo Kiungo wa Yanga Feisal Salum " Fei Toto" ambae ni sehemu ya kikosi cha Yanga licha ya kuwa nje ya kikosi kutokana na matatizo ya Kimkataba iwapo atapewa Medali kama ilivyo kwa wachezaji wenzake.

Sasa katika sintofahamu hiyo, Rais wa Yanga Injinia Hersi Said amezungumza kuhusiana na hilo.

Hersi amesema;

"Katika Hali ya kawaida hawaandiki majina , Lakini zimetoka medali 50 . Pale uwanjani walivalishwa Medali Wachezaji 20 na Kocha Mmoja . Zinazobaki anapewa Team Meneja kwa ajili Ya kuzigawa kwa watu Wote . Hivyo tutazigawa kwa Utaratibu Mzuri na Kuzingatia Umuhimu wa Watu "

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: