Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fei Toto: Rais anamfananisha mama yangu na andazi

B17f0d2a B1db 4a92 9fba 24b83edeee3e.jpeg Fei Toto amshukia Ally Kamwe

Thu, 1 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kiungo wa Yanga Feisal Salum katika mambo aliyoyazungumzia ni pamoja na yeye kutotaka kurudi tena yanga huku akikitaja kitendo cha Msemaji wa Yanga, Ally Kamwe kumtusi hadharani mama yake kwa kumfananisha na andazi.

Akizungumza kwa uchungu Feisal anasema;

"Kisa kununuliwa macho matatu unakuja hadharani kumtusi mama yangu, yani uitukane pepo yangu halafu nije kukaa na wewe mezani tuzungumze, sio rahisi kwa dharau ulionionesha tunazungumza kitu gani"

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: