Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fadlu kupandisha watano kutoka Under 20

Fadlu Davids Simba Bado.jpeg Fadlu kupandisha watano kutoka Under 20

Tue, 27 Aug 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha mkuu wa Simba, Fadlu Davids ametoa agizo la kupandishwa kwa wachezaji watano kutoka katika kikosi cha vijana chini ya umri wa miaka 20 kwenda katika kikosi cha wakubwa ambalo limeshaanza kufanyiwa kazi kwa wachezaji wawili, Daruwesh Ahmed na Okech Nyembe kutumika kwenye ligi.

Kocha mkuu wa Simba, Fadlu Davids ametoa agizo la kupandishwa kwa wachezaji watano kutoka katika kikosi cha vijana chini ya umri wa miaka 20 kwenda katika kikosi cha wakubwa ambalo limeshaanza kufanyiwa kazi kwa wachezaji wawili, Daruwesh Ahmed na Okech Nyembe kutumika kwenye ligi. Kocha huyo ameagiza kwamba wachezaji hao watano wawe wanashiriki kwa asilimia 100 katika programu za timu kwa maana ya kambi, mazoezi ya pamoja na kupata huduma zote ambazo wanapata wachezaji wa kikosi cha wakubwa.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: