Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fadlu Davids Kocha Bora wa Mwezi Ligi Kuu ya NBC

Fadlu Davidssssss Kocha mkuu wa Simba, Fadlu Davids

Mon, 2 Sep 2024 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kocha Fadlu Davids wa Simba Sports Club, ametangazwa kuwa kocha bora wa mwezi wa nane (8).

Kocha Fadlu Davids wa Simba Sports Club, ametangazwa kuwa kocha bora wa mwezi wa nane (8). Fadlu Davids ameiongoza Simba akitika michezo miwili ya Ligi na kushinda michezo yote akikamata usukani wa jedwali la msimamo wa Ligi Kuu.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: