Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Fabrice Ngoma akaribishwa kambi ya Simba Uturuki kwa Staili hii (+Video)

Fabrice Ngoma Uturuki Kiungo mpya wa Simba SC, Fabrice Ngoma

Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Viungo wa Simba Fabrice Ngoma na Clatous Chama wamewasili kivyao katika kambi ya Simba waliyoweka Uturuki wakijiandaa na msimu mpya 2023/24.

Ngoma ni ingizo Jipya katika kikosi cha Simba na mara baada ya kuwasili jana Julai 20, Leo ilimpasa kuanza mazoezi kabla ya kujiunga na wenzake.

Sasa wachezaji wa Simba walitumia muda huo kumkaribisha Kiungo huyo kwa staili ya kipekee wakijipanga mstari huku kila mmoja akimpiga vibao.

Tazama Video hapa chini kisha to maoni yako

View this post on Instagram

A post shared by Simba Sports Club (@simbasctanzania)

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: