Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diarra aitwa Timu ya Taifa kufuzu AFCON

Diarra Yanga Rts.jpeg Kipa wa Young Africans, Djigui Diarra

Fri, 1 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Kipa wa Yanga Djigui Diara amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Mali kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Sudani Kusini Septemba 8 mwaka huu

Kipa wa Yanga Djigui Diara amejumuishwa kwenye kikosi cha timu ya Taifa ya Mali kwaajili ya maandalizi ya mchezo wa kufuzu Afcon 2023 dhidi ya Sudani Kusini Septemba 8 mwaka huu Mali ni kinara kundi G akiwa tayari ameshafuzu akiwa na pointi 12, nafasi ya pili ni Gambia wenye pointi 9, Congo pointi 6 na Sudani Kusini pointi 3.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: