Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Diamond amjaza Mamilioni Golikipa wa Yanga

Diamond X Diarra Diarra akipokea pesa kutoka kwa Diamond

Mon, 5 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Msanii Naseeb Abdul maarufu Diamond Platnumz, ametimiza ahadi yake kwa golikipa wa Yanga, Djigui Diarra, kwa kumkabidhi Dola za Kimarekani 4200 zaidi ya shilingi milioni 10 za Tanzania.

Diamond alitoa ahadi hiyo Juni 3 baada ya Mlinda mlango huyo wa Yanga kuonesha kiwango safi katika mchezo wa mkondo wa pili wa Fainali ya Kombe la Shirikisho Afrika dhidi ya USM Algiers.

Katika mchezo huo wa Fainali Diarra aliokoa mkwaju wa Penati na pia aliibuka nyota wa mchezo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: