Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

David Bryson atimkia JKT Tanzania

David Bryson.jpeg David Bryson atimkia JKT Tanzania

Thu, 13 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Beki wa kushoto wa Yanga Sc, David Bryson amejiunga na Klabu ya JKT Tanzania kwa mkopo baada ya kukamilisha makubaliano ya uhamisho huo kwa mwaka mmoja.

Taarifa iliyotolewa na uongozi wa Yanga imeeleza;

Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuwajulisha mashabiki na Wanachama wake kuwa mchezaji David Bryson amejiunga na Klabu ya JKT Tanzania kwa mkataba wa mkopo wa mwaka mmoja.

Bryson mwenye uwezo mzuri wa kutumia mguu wa kushoto katika nafasi yake ya ulinzi wa pembeni alijiunga na na Yanga akitokea KMC.

Tunapenda kumtakia kila la kheri Bryson katika kipindi chake cha mkopo atakachokuwa anakipiga ndani ya JKT Tanzania.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: