Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Coastal Union: 'Thank You' Yusuph Athumani

Yusuph Athumani Sae.jpeg Yusuph Athumani

Fri, 23 Jun 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Coastal Union imempa mkono wa kwaheri mshambuliaji Yusuph Athumani ‘Berbatov’ baada ya mkataba wake wa mkopo kutoka Young Africans SC kufikia ukomo.

‘Berbatov’ ambaye alisajiliwa na Yanga mnamo Agosti 2021 kutoka Biashara United anarejea kwenye klabu yake mama.

Aidha, Wagosi hao wa Kaya wamethibitisha kuachana na Yusuph Jamal Kisongo ambaye anaunga na Yusuph Athumani kwenye mlango wa kutokea klabuni hapo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: