Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chivaviro atupa dongo Yanga

Chivaviroo Chivaviro atupa dongo Yanga

Wed, 10 May 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Wakati homa ya mtanange wa nusu fainali ya kombe la shirikisho Afrika kati ya Yanga na Marumo Gallants ikiendelea kupanda na kushuka, mshambuliaji Kinara wa Marumo Gallants, Ranga Chivaviro ametupa jiwe gizani kuelekea mchezo huo.

Wakati homa ya mtanange wa nusu fainali ya kombe la shirikisho Afrika kati ya Yanga na Marumo Gallants ikiendelea kupanda na kushuka, mshambuliaji Kinara wa Marumo Gallants, Ranga Chivaviro ametupa jiwe gizani kuelekea mchezo huo. Mshambuliaji huyo ambaye mpaka sasa ameifungia Gallants mabao matano (5) kwenye mitanange hiyo amesema hawajabahatisha kufika nusu fainali ya michuano hiyo.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: