Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama amaliza adhabu yake, kamili gado kuivaa Yanga

Chama Best Goal Chama amaliza adhabu yake, kamili gado kuivaa Yanga

Fri, 11 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mchezaji Wa klabu ya Simba Sc Clatos Chota Chama anatarajiwa kucheza mechi ya fainali dhidi ya Yanga baada ya kukosekana mechi tatu mfululizo.

Chama alifungiwa mechi tatu na Adhabu ya Shilingi laki Tano (500,000) baada ya kumfanyia madhambi mchezaji wa Ruvu Shooting Abal Kassim.

Simba Sc vs Polisi Tanzania Simba Sc vs Coastal Union Simba Sc vs Singida Fountain Gate.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: