Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama akwea pipa kwenye Timu ya Taifa

Chama Mayele Musonda Baka Chama akwea pipa kwenye Timu ya Taifa

Mon, 20 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

KIUNGO wa Simba SC, Clatous Chama akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) tayari kwa safari ya kwao, Zambia kwenda kujiunga na timu yake ya taifa, Chipolopolo kwa ajili ya mchezo wa Kundi H kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Lesotho Alhamisi Uwanja wa Levy Mwanawasa Jijini Ndola.

KIUNGO wa Simba SC, Clatous Chama akiwa Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA) tayari kwa safari ya kwao, Zambia kwenda kujiunga na timu yake ya taifa, Chipolopolo kwa ajili ya mchezo wa Kundi H kufuzu Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika dhidi ya Lesotho Alhamisi Uwanja wa Levy Mwanawasa Jijini Ndola. Chama anakwenda kujiunga na Chipolopolo baada ya kuisaidia Simba kufuzu Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Afrika Jumamosi Uwanja wa Benjamin Mkapa Jijini Dar es Salaam akifunga mabao matatu katika ushindi wa 7-0 dhidi ya Horoya ya Guinea.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: