Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Chama, Ngoma watua kambi ya Simba Uturuki (+Video)

F1gJzTGXgAI8ORv.jpeg Chama na Ngoma

Fri, 21 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Viungo wa Simba SC, Clatous Chama na Fabrice ngoma wamewasili katika Kambi ya Simba iliyopo nchini Uturuki kuungana na wenzao kwa ajili ya maandalizi ya msimu ujao.

Simba wameweka Kambi ya Kujiandaa na msimu ujao 2023/24 nchini Uturuki na watakaa humo kwa muda wa wiki tatu.

Kubwa lililowavutia Wanasimba ni kuona kiungo wao kipenzi Chama akiungana na Timu baada ya kutokea sintofahamu baina yake na Klabu siku kadhaa zilizopita.

Tazama Video hapa chini mastaa hao wakiwasili Kambini;



Je umeipokeaje taarifa ya Chama kujiunga na Kambi? Tuachie maoni yako
Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: