Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#Breaking: Simba wamtambulisha beki Hussein Kazi kutoka Geita Gold

Hussain Kazi Simba wamtambulisha beki Hussein Kazi kutoka Geita Gold

Thu, 20 Jul 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinzi wa kati Hussein Kazi kwa kandarasi ya miaka miwili kutoka Geita Gold.

Klabu ya Simba imethibitisha kukamilisha usajili wa mlinzi wa kati Hussein Kazi kwa kandarasi ya miaka miwili kutoka Geita Gold. Kazi amewahi pia kuhudumu katika Klabu ya Mbeya Kwanza ya jijini Mbeya ambayo ilishuka Daraja misimu miwili iliyopita.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: