Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Breaking: Mudathir Yahya aongeza kandarasi Yanga

Mudathir Yanga B Mudathir Yahya aongeza kandarasi Yanga

Wed, 29 Mar 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imetangaza kumwongezea Mkataba wa Mwaka Mmoja Kiungo wao na wa timu ya Taifa Stars, Mudathir Yahya Abass kwa Mkataba wa Miaka Miwili utakaomalizika June 30, 2024.

Mkataba wa awali wa Nyota huyo ulikuwa unamalizika Mwishoni mwa Msimu huu na hivi sasa atakuwa ni Mwananchi mpaka Mwaka 2024.

Mudathir Yahya alisajiliwa Yanga katika dirisha dogo mwezi Januari kwa mkataba wa hadi mwisho wa msimu akiwa mchezaji huru baada ya kumaliza mkataba ww, lakini kwa kazi nzuri ndani ya miezi mitatu tu ameboreshewa mkataba Jangwani. 

Pichani ya Rais wa Yanga SC, Hersi Ally Said (kushoto) akimkabidhi jezi ya klabu kiungo Mzanzibari, Mudathir Yahya Abbas baada ya kusaini mkataba wa kuendelea kuitumikia klabu hiyo. 

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: