Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

#Breaking: FIFA yaifungia Yanga kusajili

Bigirimana Hersi Ms #Breaking: FIFA yaifungia Yanga kusajili

Tue, 29 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Klabu ya Yanga imefungiwa kusajili mpaka itakapomlipa kiungo wa Kimataifa wa Burundi Gael Bigirimana.

Uamuzi huo umefanywa na Shirikisho la Kimataifa la Mpira wa Miguu (FIFA) baada ya mchezaji huyo kushinda kesi ya madai dhidi ya klabu hiyo.

Birigimana alifungua kesi FIFA kuhusiana a malipo ya ada ya usajili (sign on fee)na timu hiyo ilitakiwa iwe imemlipa ndani ya siku 45 tangu uamuzi huo ulipotolewa, lakini haikutekeleza hukumu hiyo.

Wakati FIFA imeifungia klabu hiyo kufanya uhamisho wa wachezaji kimataifa, Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF) limeifungia kufanya uhamisho wa ndani.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: