Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki wa Simba SC atemwa KMC

Ameeee Ibrahimu Ame

Thu, 24 Aug 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Uongozi wa klabu ya KMC umeachana na aliyekuwa Mlinzi wao wa kati Ibrahimu Ame aliepata kupita katika vilabu vya Coastal, Simba SC na Mtibwa.

Ame amekuwa nje ya Uwanja kwa muda mrefu akijiuguza jeraha la goti kitu ambacho kilisababisha klabu yake kukosa huduma yake.

Sasa Rasmi hatokuwa sehemu ya Wachezaji wa klabu ya KMC kwa msimu huu wa 23/24 baada ya kandarasi yake kuisha.

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: