Michezo

Habari

Burudani

Biashara

Afrika

Live Radio

Nchi

Kijamii

Lifestyle

SIL

Beki wa Simba Che Malone apata ajali (+Video)

Che Malone 966688 Che Fondoh Malone

Sun, 24 Sep 2023 Chanzo: www.tanzaniaweb.live

Mlinzi wa Simba SC, Che Fondon Malone ameripotiwa kupata ajali ya gari usiku wa kuamkia leo maeneo ya Shule ya Feza Mikocheni wakati akitokea Airport alipokwenda kupokea mizigo yake.

Kwa mujibu wa mashuhuda, nyota huyo raia wa Cameroon hajaumia maana alikuwa amekaa siti ya nyuma lakini dereva wake ndio amepata shida kwenye mkono.

Kwa Taarifa zaidi juu ya tukio hilo endelea kuwa karinu na Tanzaniaweb.

Tazama Video iliyohusisha ajali hiyo hapa chini;

Chanzo: www.tanzaniaweb.live
Related Articles: